Na Furaha Omary
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba anadaiwa kumweleza aliyekuwa Katibu Mkuu wa Fedha na Uchumi, Gray Mgonja, kuhusu mkataba baina ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), na Kampuni ya
Na Fadhili Abdallah, Tabora
WAGOMBEA urais wa vyama vya upinzani wametakiwa kuacha kumtaja ...
NA BASHIR NKOROMO
JUMUIA ya Wazazi Wilaya ya Kinondoni imesema mgombe urais kwa tiketi ya C...
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema bara la Afrika linaweza kujilisha na ku...
NA MWANDISHI WETU, GEITA
KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanachama na baadhi ya viongozi wa C...
NA MWANDISHI MAALUMU, ACCRA, GHANA
VIONGOZI wa Afrika wamesema wakati wa maneno umekwisha, na kwamba sasa kuna haja ya kubadili mikakati ya kuinua kilimo ili kiweze kule...
Na Ahmed Makongo, Ukerewe
MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Ukerewe, Balozi Gertude Mongella, amewataka wanawake ambao kura za maoni kuwania ubunge na udiwani hazi...
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limekitaka Chama cha Netiboli nchini (CHANETA), kumaliza mara moja mgogoro uliopo kati yake na Chama cha Netiboli cha Zanzibar (CHANEZA) ...
Na Emmanuel J. Shilatu
BABA wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliutambua vyema msemo wa wahenga kuwa elimu ni ufunguo wa maisha na ndio maana wakati wa utawala wake alianzis...
NA SOPHIA ASHERY
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, Simba, leo wanajitupa uwanjani kucheza na Gor Mahia ya Kenya, katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa ...
Na Khamis Hamad
MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imeunda kamati ambayo itayafanyia kazi mapendekezo ya ripoti ya ukaguzi iliyotolewa na Shirika la BPA ...