Toleo Maalumu

Habari

FOLZ  AKILI YOTE KWA WAMALAWI

Na ABDUL DUNIA LICHA ya kukiri mechi dhidi ya Silver Strikers ya Malawi itakuwa ngumu, Kocha wa Yanga, Romain Folz, amesema lengo lao ni kupata matokeo mazuri katika mtanange huo. Yanga itachuana na Silver Strikers katika mechi ya hatua ya pili ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), utakaopigwa Oktoba 18, 2025, katika Uwanja […]

PANTEV KICHEKO SIMBASC

Na NASRA KITANA WAKATI kikosi cha Simba kikitarajiwa kuondoka nchini leo, kocha wa timu hiyo Dimitar Pantev amesema ana furaha na nyota wake baada ya kupata ushindi katika mechi mbili za kirafiki. Pantev ametoa kauli hiyo Dar es Salaam, baada ya timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya Al Hilal Omdurman ya Sudan kwa kuifunga […]

DK. SAMIA AWAPA KICHEKO KARAGWE

Na MUSSA YUSUPH, Karagwe MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ameyataja maeneo makuu matatu ambayo serikali yake, itajikita katika kuhudumia wananchi kama ilivyoelekezwa kupitia Ilani ya Uchaguzi (2025 – 2030). Dk. Samia ameyataja maeneo hayo ni kusogeza huduma za kijamii, uwezeshaji wananchi kiuchumi na kuimarisha sekta za uzalishaji (kilimo, viwanda […]

STEVEN WASIRA: TAIFA HILI HALIJAWAHI KUGAWANYIKA

Na ELIZABETH JOHN MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema taifa halijawahi kugawanyika kama inavyodaiwa na baadhi ya watu, bali ni mitazamo tofauti inayojitokeza kutokana na uhuru wa mawazo na demokrasia iliyoimarika. Akizungumza katika kipindi cha Morning Trumpet kinachorushwa kituo cha televisheni cha UTV, Wasira alisema madai ya kuwepo kwa mgawanyiko […]

DK. MWINYI AAHIDI KITUO CHA HUDUMA WENYE ULEMAVU

Na HANIFA RAMADHANI, Zanzibar MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuanzisha kituo maalumu cha utoaji huduma za kitabibu kwa watu wenye ulemavu. Hatua hiyo ni dhamira yake ya kuhakikisha kundi hilo, linapata huduma bora za afya na haki sawa katika jamii. Dk. Mwinyi aliyasema hayo, wakati akizungumza […]

Uchaguzi

DK. NCHIMBI AELEZA MKAKATI WA RELI SGR HADI KIGOMA

Na NJUMAI NGOTA, Singida MGOMBEA Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema katika miaka mitano ijayo, CCM imedhamiria kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ya mwendokasi ya SGR kutoka Dodoma, Tabora, Mwanza na Kigoma ambayo itapita wilayani Itigi mkoani Singida.Dk. Nchimbi, amesema hayo katika Uwanja wa Mpira wa Mitundu, […]

JESCA: DK. SAMIA NI KIONGOZI JASIRI

Na MUSSA YUSUPH, Geita MGOMBEA Ubunge wa Viti Maalumu, Jesca Magufuli, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi mwenye ujasiri mkubwa na shupavu ambaye katika kipindi cha miaka minne ametekeleza miradi mikubwa ya kimkakati. Jesca ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea Urais kupitia CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, uliofanyika viwanja vya […]

Siasa

Biashara

MAJALIWA : MRADI GESI YA LNG KUIKOMBOA LINDI KIUCHUMI

Na Mussa Yusuph, Lindi WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema utekelezaji wa mradi wa gesi ya LNG unaotarajiwa kufanyika mkoani Lindi ni ukombozi wa kiuchumi katika mkoa huo na Taifa.Kutokana na hilo, Majaliwa ametoa wito kwa wananchi mkoani Lindi kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan akamilishe taratibu zilizobaki kutekeleza mradi huo wa […]

BILIONI 499/- ZAPATIKANA KUPITIA UTALII

Na Mwandishi Wetu  IDADI ya watalii wanaotembelea vivutio mbalimbali Tanzania imeongezeka kutoka 786,710 kwa mwaka wa fedha 2016/2017 hadi kufikia 1,493,135 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na kuchangia zaidi ya sh. bilioni 499 katika pato la Taifa. Kamishna Msaidizi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), July Lyimo, alisema hayo jijini Arusha alipowasilisha mada katika […]

SERIKALI YAWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FUSRA AFCON

Na AMINA KASHEBA SERIKALI imewataka Watanzania kujipanga na kuchangamkia fursa katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027). Michuano hiyo inatarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Akizungumza Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo wa Taifa (BMT), Neema Msitha amesema Watanzania wanatakiwa kuchangamkia fursa […]

Michezo

FOLZ  AKILI YOTE KWA WAMALAWI

Na ABDUL DUNIA LICHA ya kukiri mechi dhidi ya Silver Strikers ya Malawi itakuwa ngumu, Kocha wa Yanga, Romain Folz, amesema lengo lao ni kupata matokeo mazuri katika mtanange huo. Yanga itachuana na Silver Strikers katika mechi ya hatua ya pili ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), utakaopigwa Oktoba 18, 2025, katika Uwanja […]

PANTEV KICHEKO SIMBASC

Na NASRA KITANA WAKATI kikosi cha Simba kikitarajiwa kuondoka nchini leo, kocha wa timu hiyo Dimitar Pantev amesema ana furaha na nyota wake baada ya kupata ushindi katika mechi mbili za kirafiki. Pantev ametoa kauli hiyo Dar es Salaam, baada ya timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya Al Hilal Omdurman ya Sudan kwa kuifunga […]

SIMBA NI MWENDO WA MABAO LIGI KUU

Na ABDUL DUNIA WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikisimama kupisha mechi za kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, Simba ndiyo timu iliyofunga mabao mengi katika michuano hiyo hadi sasa msimu huu. Katika michuano hiyo mikubwa zaidi kwa ngazi za klabu nchini, jumla ya mabao 36 yamefungwa msimu huu, huku Simba ikipachika mabao sita. Kwa mujibu […]

MOROCCO ATAJA KILICHOIPONZA STARS

Na AMINA KASHEBA KOCHA timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Hemedi Sulemain ‘Morocco’,  amesema sababu ya kushindwa kupata ushindi katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia ni wachezaji wake kukosa umakini wa kutumia nafasi. Juzi, Stars ilifungwa bao 1-0 dhidi ya Zambia katika mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia, […]

TAIFA STARS, ZAMBIA NI MECHI YA HESHIMA

Na AMINA KASHEBA TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’ itashuka dimbani leo kupambana na Zambia katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huo umepangwa kufanyika saa 4:00 usiku katika Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar. Akizungumza na vyombo vya habari, Kocha Mkuu wa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesema maandalizi yote yamekamilika kuelekea pambano […]

Burudani

Maoni ya Mhariri

Mitandao ya Kijamii

Instagram

Tiktok

error: Content is protected !!