Toleo Maalumu

Habari

RIO USIPIME KABISA

NA MUSSA YUSUPHDODOMA SHANGWE zimetawala katika Jiji la Dodoma na viunga vyake baada ya ujio wa mwanasoka maarufu duniani, Reo Ferdinand, aliyewahi kusakata kabumbu katika klabu ya Manchester United na Timu ya Taifa ya Uingereza.Mchezaji huyo ambaye amefanikiwa kushinda mataji sita ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na moja la Klabu Bingwa Ulaya, aliwasili jana […]

RAIS DK. SAMIA AWAPA TABASAMU WAPIGANAJI

Na MUSSA YUSUPH, Dodoma AMIRI Jeshi Mkuu, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amerejesha tabasamu kwa mashujaa waliopigana Vita ya Kagera, kufuatia Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, kutangaza mpango wa kuwaingiza katika malipo ya pensheni. Hatua hiyo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. Samia ya kutaka wazee hao kuingizwa katika malipo hayo […]

KOCHA SIMBA KICHEKO  

Na AMINA KASHEBA KOCHA wa Simba, Steve Barker, viwango vinavyoendelea kuonyeshwa na wachezaji wake vinamfanya kutembea kifua mbele na kuwa na uhakika wa kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho (FA). Barker ametoa kauli hiyo saa chache baada ya kuiongoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya TRA, katika mechi ya robo fainali iliyochezwa […]

 DABI YA TANO YANUKIA

Na AMINA KASHEBA BAADA ya kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho FA, timu za Yanga na Simba zinaweza kukutana katika mchezo wa fainali. Timu hizo, zimepangwa kucheza hatua ya nusu fainali  katika michezo miwili tofauti ambapo Yanga itachuana na Azam FC. Pambano hilo, limepangwa kufanyika Juni 21, mwaka huu katika dimba la […]

RAIS DK. SAMIA ATOA AGIZO  KOMBE LA DUNIA 2026

Na MWANDISHI WETU RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa agizo lingine kwa  Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mamlaka zote zinazohusika na michezo, kuhakikisha zinaiandaa mapema  timu ya wavulana wenye umri chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’. Agizo hilo limetolewa ikiwa ni wiki moja baada ya kutoa agio kama hilo kwa mamlaka husika, kufanya […]

UCHAGUZI

WATU 120, 780 KUMCHAGUA MBUNGE JIMBO LA PERAMIHO

Na MWANDISHI WETU, Ruvuma WAPIGA Kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, watashiriki uchaguzi wa kuchagua mbunge wa Jimbo la Peramiho lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma na Kata ya Shiwinga, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa […]

WATANZANIA 37,647,235 KUPIGA KURA LEO

Na WAANDISHI WETU TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza maandalizi yote muhimu ya Uchaguzi Mkuu wa wa Rais, Wabunge na Madiwani, yamekamilika.Jumla ya wapigakura 37,647,235, wamethibitishwa kushiriki uchaguzi huo. Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele, amesema hayo kupitia taarifa ya tume hiyo na kusisitiza, uchaguzi huo, unafanyika kwa mujibu wa masharti ya Ibara […]

KISHINDO SIKU 60 ZA DK. SAMIA

Na MUSSA YUSUPH,Mwanza SHAMRASHAMRA za maandalizi ya mkutano wa kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu, zimeendelea kuutikisa Mkoa wa Mwanza ambapo Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi, wapenzi, wanachama na wakereketwa wa CCM. Katika mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, mwaka huu, katika Uwanja wa CCM […]

DK. MWINYI AJAWA MATUMAINI KIBAO

Na HANIFA RAMADHANI, Zanzibar MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema wana matumaini kuwa CCM itashinda kwa kishindo katika Uchaguzi wa kesho kutwa. Dk. Mwinyi alisema hayo, katika ufungaji kampeni za Uchaguzi Mkuu wa CCM, uliofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja, Mjini Unguja Alisema kutokana na wingi wa wanachama […]

DK. NCHIMBI AELEZA MAFANIKIO YA KAMPENI ZA CCM NCHINI

Na NJUMAI NGOTA,UKEREWEMGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amefunga kampeni za Chama kwa kishindo huku akisema amezunguka takribani mikoa yote kwa mafanikio makubwa.Katika mikutano yake ya kampeni, Dk. Nchimbi, ameinadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025–2030 na kumwombea kura za Urais, Dk. Samia Suluhu […]

Siasa

ZIARA YA KIHONGOSI MWANZA YAREJESHA MATUMAINI KWA WANANCHI

Na MWANDISHI WETU ZIARA ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenan Kihongosi, mkoani Mwanza, imerejesha matumani kwa wananchi wa jiji hilo. Kihongosi ambaye amefanya mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Furahisha, Nyamagana mkoani humo, ametatua baadhi ya changamoto za wananchi papo kwa papo. Miongoni mwa wananchi waliotatuliwa […]

WATU 120, 780 KUMCHAGUA MBUNGE JIMBO LA PERAMIHO

Na MWANDISHI WETU, Ruvuma WAPIGA Kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, watashiriki uchaguzi wa kuchagua mbunge wa Jimbo la Peramiho lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma na Kata ya Shiwinga, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa […]

SIKU 100 ZA KAZI NA UTU, ZAIKOSHA CCM

Na ZIANA BAKARI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na mwanzo mzuri wa utekelezaji wa Ilani yake, uliofanyika katika siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, huku kikiwataka Watanzania, kuaminiana na kuzungumza kwa pamoja kwa kuwa jamii inahitaji maridhiano, siyo fujo. Hayo yalibainishwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, alipofanya mahojiano kupitia kipindi […]

TULIENI NYUMBANI

>>Ni agizo la Waziri Mkuu Dk. Mwigulu >>Simbachawene  asema maandamano ni haramu Na IRENE MWASOMOLA SERIKALI imewataka wananchi wasiokuwa na ulazima wa kutoka leo, watulie nyumbani. Agizo hilo limetolewa na Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, alipowasilisha salamu za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru, ambapo aliwatakia Watanzania kheri. Kupitia […]

KIHONGOSI ATOA MAAGIZO KWA MADIWANI 

Na ATHNATH MKIRAMWENI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka madiwani kufanya kazi zinazobeba ajenda za wananchi, zitakazotoa majawabu ya kero katika maeneo yao. Pia, CCM imesema itaendelea kusimamia vyema misingi ya uadilifu kwa watendaji wa Chama. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, jijini Dar es Salaam, alipozungumza na […]

Biashara

DEMOKRASIA ISIZICHAFUE NCHI ZETU – RAIS DK. SAMIA

Na ATHNATH MKIRAMWENI RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Tanzania na Kenya, kulinda na kuheshimu demokrasia kwa kuzingatia utaratibu, sheria na misingi ya uendeshaji wa serikali, hivyo wasikubali ichafue  nchi na mila zao. Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam jioni, alipohutubia Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Kenya, lililofanyika katika Kituo […]

YANGA, AL AHLY MECHI YA MAAMUZI

Na NASRA KITANA WAKATI timu ya Yanga ikitarajiwa kushuka dimbani kesho katika mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahly, uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa huo ni mchezo wao wa maamuzi, hivyo hawatakubali kupoteza. Yanga wanatarajiwa kushuka dimbani kesho katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL),  dhidi ya Al Ahly ya Misri, […]

TRA INAVYOIMARISHA USHIRIKIANO NA WAFANYABIASHARA KUKUZA UCHUMI

Na IRENE MWASOMOLA TANGU kuingia madarakani kwa serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imesaidia kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hakika kazi kubwa imefanyika ya kuongeza makusanyo ya kodi kupitia TRA, hivyo kufanikisha dhima ya serikali ya utekelezaji wa maendeleo kwa wananchi na taifa.  […]

TASAF KIELELEZO CHA MAFANIKIO MIAKA 64 YA UHURU

NA SULEIMAN JONGO WATANZANIA wanaadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara) ambao ulipatikana Desemba 9, mwaka 1961 huku kukiwa na mafanikio mbalimbali ya mfano. Kupatikana kwa Uhuru kunatokana na msukumo wa wananchi wa Tanzania Bara kutaka kujinasua katika makucha ya wakoloni ambayo hawakutoa nafasi kwa Waafrika weusi kujiletea maendeleo katika sekta mbalimbali zenye […]

Michezo

RIO USIPIME KABISA

NA MUSSA YUSUPHDODOMA SHANGWE zimetawala katika Jiji la Dodoma na viunga vyake baada ya ujio wa mwanasoka maarufu duniani, Reo Ferdinand, aliyewahi kusakata kabumbu katika klabu ya Manchester United na Timu ya Taifa ya Uingereza.Mchezaji huyo ambaye amefanikiwa kushinda mataji sita ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) na moja la Klabu Bingwa Ulaya, aliwasili jana […]

KOCHA SIMBA KICHEKO  

Na AMINA KASHEBA KOCHA wa Simba, Steve Barker, viwango vinavyoendelea kuonyeshwa na wachezaji wake vinamfanya kutembea kifua mbele na kuwa na uhakika wa kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho (FA). Barker ametoa kauli hiyo saa chache baada ya kuiongoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya TRA, katika mechi ya robo fainali iliyochezwa […]

 DABI YA TANO YANUKIA

Na AMINA KASHEBA BAADA ya kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho FA, timu za Yanga na Simba zinaweza kukutana katika mchezo wa fainali. Timu hizo, zimepangwa kucheza hatua ya nusu fainali  katika michezo miwili tofauti ambapo Yanga itachuana na Azam FC. Pambano hilo, limepangwa kufanyika Juni 21, mwaka huu katika dimba la […]

RAIS DK. SAMIA ATOA AGIZO  KOMBE LA DUNIA 2026

Na MWANDISHI WETU RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa agizo lingine kwa  Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mamlaka zote zinazohusika na michezo, kuhakikisha zinaiandaa mapema  timu ya wavulana wenye umri chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’. Agizo hilo limetolewa ikiwa ni wiki moja baada ya kutoa agio kama hilo kwa mamlaka husika, kufanya […]

MTIFUANO MKALI NNE BORA LIGI KUU TANZANIA BARA

Na VICTOR MKUMBO WAKATI msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara ukielekea ukingoni, vita ya timu kuwania nafasi ya kucheza michuano ya kimataifa msimu ujao, imezidi kunoga. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zinatarajia kupeleka timu nne msimu ujao katika michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Katika michuano hiyo msimu ujao, Tanzania […]

Mitandao ya Kijamii

Instagram

Tiktok

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?