Uhuru Publications Ltd - Gazeti Uhuru, Mzalendo na Burudani

Sunday
Sep 05th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Habari za Biashara Africa Mashariki

Biashara Africa Mashariki

BoT na TIB kuandaa mwongozo wa ukopeshaji

BENKI ya Rasilimali Tanzania (TIB) kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na Uchumi na Benki Kuu (BoT), imeandaa mwongozo wa ukopeshaji, bunge limeelezwa. Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Yusuf Omar Mzee alisema mwongozo huo ulipitishwa na serikali Desemba mwaka jana kwa masharti yaliyokubalika. Mzee aliyataja masharti hayo

Read more...
 

Watanzania kupewa elimu ya soko la pamoja la EAC

Na Noor Shija, Dodoma

SERIKALI imesema itatoa elimu kuhusu soko la pamoja la Jumuia ya Afrika Mashariki kwa wananchi wa Tanzania. Hayo yalisemwa bungeni jana na Naibu Wazi...

Read more...

SBL, EABL kushirikiana kibiashara

NA MWANDISHI WETU

KAMPUNI za Serengeti Breweries (SBL) na East African Breweries (EABL) ya Kenya, zimefikia makubaliano ya kibiashara yatayoiwezesha SBL kusambaza vinywaji...

Last Updated ( Friday, 05 February 2010 10:30 )

Read more...

Magazeti Yetu

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila siku

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila Jumapili

Habari za Michezo, Tamthilia, Makala na Burudani kila Alhamisi

Toa Maoni Yako

Hali ya Kisiasa Tanzania