Uhuru Publications Ltd - Gazeti Uhuru, Mzalendo na Burudani

Sunday
Sep 05th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Habari za Burudani na Michezo Gazeti la Mzalendo

Gazeti la Mzalendo

Nchunga: Yanga makundi basi

NA EMMANUEL NDEGE
KLABU ya Yanga ya jijini Dar es Salaam imesema, imezika makundi yaliyokuwepo na sasa wote ni kitu kimoja. Akizungumza wakati wa hitima ya kuwakumbuka viongozi na wachezaji wa zamani waliofariki,

Read more...
 

Man United yadunguliwa

NEW YORK, Marekani
TIMU ya soka ya Manchester United, juzi ilikung'utwa mabao 3-2 na timu ya Chivas katika mchezo wa kirafiki. Man United ipo kaskazini mwa Marekani ikiche...

Read more...

Wenger: Fabregas yupo sana Arsenal

EMIRATES, England
PAMOJA na kuwepo tetesi kuwa, Cesc Fabregas ana mpango wa kujiunga na Barcelona, kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amebainisha kwamba, anamtambua nyota hu...

Read more...

Yanga sasa vurugu tupu

NA ATHANAS KAZIGE

WAKATI mkutano mkuu wa wanachama wa klabu ya Yanga wa kujadili marekebisho ya katiba unafanyika leo, hali ndani ya klabu hiyo si shwari. Hilo lilidhihiri...

Read more...

Stars, Rwanda uso kwa uso

NA DEUSDEDIT UNDOLE

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inashuka dimbani leo  kupambana na Rwanda katika mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya michuano ya kuw...

Read more...
  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  Next 
  •  End 
  • »
Page 1 of 2

Magazeti Yetu

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila siku

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila Jumapili

Habari za Michezo, Tamthilia, Makala na Burudani kila Alhamisi

Toa Maoni Yako

Hali ya Kisiasa Tanzania