Uhuru Publications Ltd - Gazeti Uhuru, Mzalendo na Burudani

Saturday
Sep 04th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Habari za Burudani na Michezo Zilizojiri hivi Punde

Zilizojiri hivi Punde

Pinda ataka uchunguzi dhidi ya Muro

Pinda ataka uchunguzi dhidi ya Muro

Dunia Mzobora na Theodos Mgomba, Dodoma

SERIKALI imeagiza kufanyika uchunguzi wa kina dhidi ya tuhuma zinazomkabili Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Jerry Muro. Agizo hilo lilitolewa bungeni jana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, alipokuwa akijibu maswali ya papo kwa hapo, akisema serikali itahakikisha hatua zote za uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo zinafuatwa na kulifanya liishe haraka. Waziri Mkuu alisema tukio hilo limekuwa  likiendeshwa katika hali ya tofauti kutokana na mtuhumiwa na vyombo vya dola kukimbilia kwenye vyombo vya habari kulizungumzia. Alisema hali hiyo inaweza kuleta hisia tofauti kwa jamii, hivyo kumtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya

Last Updated ( Friday, 05 February 2010 09:32 )

Read more...
 

Magazeti Yetu

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila siku

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila Jumapili

Habari za Michezo, Tamthilia, Makala na Burudani kila Alhamisi

Toa Maoni Yako

Hali ya Kisiasa Tanzania