Uhuru Publications Ltd - Gazeti Uhuru, Mzalendo na Burudani

Sunday
Sep 05th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Makala Siasa

Siasa na Utawala

Vijana waendao shule kwa mguu wako ‘fiti’ kitaaluma- watafiti

Vijana waendao shule kwa mguu wako ‘fiti’ kitaaluma- watafiti

Na Mwandishi Wetu

NI vigumu kuamini yanayotokea katika maisha ya watoto walio shuleni kulingana na mazoea ya kila siku. Lakini, ndivyo ilivyo katika hali halisi. Wasomi duniani wamefanya utafiti na kubaini kwamba

Last Updated ( Friday, 03 September 2010 12:02 )

Read more...
 

Mafanikio katika elimu mtaji tosha kwa CCM

NA STEPHEN BALIGEYA

TAIFA lisilo na watu walioelimika ni sawa na kundi la kondoo lisilo na mchungaji. Watashindwa kujishauri na kujiongoza wenyewe. Lakini uwepo wa elimu k...

Read more...

Ruvuma njia nyeupe Mafiga Matatu CCM

Ruvuma njia nyeupe Mafiga Matatu CCM

NA DUSTAN NDUNGURU, SONGEA 
  Jumapili ya Oktoba 31, mwaka huu, utafanyika uchaguzi mkuu wenye kushirikisha vyama vingi vya siasa, kikiwemo Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambac...

Last Updated ( Tuesday, 31 August 2010 11:25 )

Read more...

Kwa nini wananchi wanang’ang’ania kuichagua CCM ?

NA EMMANUEL SHILATU

TANZANIA  ni nchi ya demokrasia yenye kufuata  mfumo wa vyama vingi,  kwa wananchi kuwachangua rais, wabunge na madiwani wanaowataka. Mfumo huo hufanyi...

Last Updated ( Monday, 30 August 2010 19:00 )

Read more...

Yussuf Nassir, tumaini jipya la maendeleo Korogwe Mjini

NA SOPHIA WAKATI

BAADA ya mchakato wa kura za maoni, na hatimaye kupata wagombea wa nafasi za urais, ubunge na udiwani, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiko katika kampeni kwa a...

Read more...
  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  4 
  •  5 
  •  6 
  •  7 
  •  8 
  •  Next 
  •  End 
  • »
Page 1 of 8

Kutoka Magazetini

 

TANZANIA ni nchi ya demokrasia yenye kufuata mfumo wa vyama vingi

,  kwa wananchi kuwachangua rais, wabunge na madiwani wanaowataka

 

RAIS wa Zanzibar, Amani Abed Karume

 

 

Umati wa wanaccm wakijimwaga kumlaki mgombea Urais

Umati wa wanaccm wakijimwaga kumlaki mgombea Urais kwa tiketi ya ccm Jk mkoni Mbeya hivi k...

 

MGOMBEA mwenza wa Rais Jakaya Kikwete, Dk. Mohammed Gharib Bilal

, akimnadi kwa wapigakura, mgombea ubunge wa jimbo la Mtwara Vijijini (CCM), Hawa Ghasia k...

 

Mgombea ubunge wa ccm Amos makalla akisalimiana na wananchi jimbo la Mvomero Morogoro. (Picha na Yassin Kayombo).

Magazeti Yetu

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila siku

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila Jumapili

Habari za Michezo, Tamthilia, Makala na Burudani kila Alhamisi

Toa Maoni Yako

Hali ya Kisiasa Tanzania