Uhuru Publications Ltd - Gazeti Uhuru, Mzalendo na Burudani

Monday
Sep 06th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Makala Jamii na Mazingira

Afya, Jamii na Mazingira

Watanzania wakibadilika ukimwi utakuwa historia

NA CAROLYNE MADOSHI, SAUT

UKIMWI ni ugonjwa hatari unaozidi kuwa tishio duniani, ingawa kwa mtazamo wa mtu mmoja mmoja inaonekana ni jambo la kawaida. Kwani, kila mtu anaweza kufikiri awezavyo, mwingine anaweza kuona kama ni jambo dogo na mwingine akaona ni tatizo kubwa. Kama watu wote duniani wangekuwa na mtazamo mmoja, ukimwi usingekuwa tatizo tena,

Read more...
 

Rais Kikwete ameivusha elimu yetu daraja jingine

Na Emmanuel J. Shilatu

BABA wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliutambua vyema msemo wa wahenga kuwa elimu ni ufunguo wa maisha na ndio maana wakati wa utawala wake alianzis...

Read more...

TFDA na operesheni ya kukomesha dawa bandia

TFDA na operesheni ya kukomesha dawa bandia

NA NJUMAI NGOTA

MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), ni taasisi ya serikali iliyokasimiwa jukumu la kudhibiti ubora na usalama wa vyakula, dawa, vipodozi na vifaa t...

Last Updated ( Thursday, 02 September 2010 09:07 )

Read more...

MBIUWASA yaleta matumaini mapya kwa wakazi Mbinga

  NA DUSTAN NDUNGURU,

MAJI ni muhimu katika maisha ya binadamu. Kutokana na hilo, ndiyo maana serikali mara zote inahimiza umuhimu wa kutunza mazingira, ili kunusuru vyanz...

Read more...

Mwezi wa mtukufu wa Ramadhani, unamuandaa Muislamu kumcha Mungu

NA HAMIS SHIMYE

WAISLAMU duniani kote wanaendelea na funga ya  Mwezi mtukufu wa Ramadhani, ibada ambayo huja mara moja kila mwaka. Huu  ni mwezi mtukufu  kwa Waislamu kuto...

Read more...
  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  4 
  •  5 
  •  6 
  •  7 
  •  8 
  •  9 
  •  Next 
  •  End 
  • »
Page 1 of 9

Kutoka Magazetini

 

TANZANIA ni nchi ya demokrasia yenye kufuata mfumo wa vyama vingi

,  kwa wananchi kuwachangua rais, wabunge na madiwani wanaowataka

 

RAIS wa Zanzibar, Amani Abed Karume

 

 

Umati wa wanaccm wakijimwaga kumlaki mgombea Urais

Umati wa wanaccm wakijimwaga kumlaki mgombea Urais kwa tiketi ya ccm Jk mkoni Mbeya hivi k...

 

MGOMBEA mwenza wa Rais Jakaya Kikwete, Dk. Mohammed Gharib Bilal

, akimnadi kwa wapigakura, mgombea ubunge wa jimbo la Mtwara Vijijini (CCM), Hawa Ghasia k...

 

Mgombea ubunge wa ccm Amos makalla akisalimiana na wananchi jimbo la Mvomero Morogoro. (Picha na Yassin Kayombo).

Magazeti Yetu

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila siku

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila Jumapili

Habari za Michezo, Tamthilia, Makala na Burudani kila Alhamisi

Toa Maoni Yako

Hali ya Kisiasa Tanzania