Uhuru Publications Ltd - Gazeti Uhuru, Mzalendo na Burudani

Saturday
Sep 04th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Habari za Kitaifa

Habari za Kitaifa

Shahidi: Mramba hakuliarifu baraza

Shahidi: Mramba hakuliarifu baraza

Na Furaha Omary

ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba anadaiwa kumweleza aliyekuwa Katibu Mkuu wa Fedha na Uchumi, Gray Mgonja, kuhusu mkataba baina ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), na Kampuni ya

Read more...
 

‘Tangazeni sera si jina la Kikwete’

Na Fadhili Abdallah, Tabora

WAGOMBEA urais wa vyama vya upinzani wametakiwa kuacha kumtaja Rais Jakaya Kikwete kwenye mikutano ya hadhara, badala yake wawaeleze wananchi w...

Read more...

WAZAZI: JK atapata ushindi wa kishindo

NA BASHIR NKOROMO

JUMUIA ya Wazazi Wilaya ya Kinondoni imesema mgombe urais kwa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Kikwete, atapata kura nyingi zaidi ya zilizompa ushindi mwaka 20...

Read more...

Balozi Getrude awatia moyo wanawake

Na Ahmed Makongo, Ukerewe

MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Ukerewe, Balozi Gertude Mongella, amewataka wanawake ambao kura za maoni kuwania ubunge na udiwani hazi...

Read more...

Pinda: Afrika inaweza kujilisha, kuuza nje chakula

Na Mwandishi Wetu

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema bara la Afrika linaweza kujilisha na kuuza chakula katika nchi nyingine duniani. Pinda alisema Afrika inaweza kufanya h...

Read more...

Mama Salma akemea kampeni za ukabila

NA MWANDISHI MAALUMU, HANANG, MANYARA

MWENYEKITI wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete amekemea kampeni zinazofanyika kwa misingi ya udini na ukab...

Read more...

Mwenendo wa kampeni kujadiliwa

NA WAANDISHI WETU

BARAZA la Ushauri la Vyama vya Siasa linatarajiwa kukutana kujadili na kutoa taarifa ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 31,  mw...

Read more...

Deni la sh. 10,000 lazua tafrani Chadema

Deni la sh. 10,000 lazua tafrani Chadema

NA MWANDISHI WETU, GEITA

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanachama na baadhi ya viongozi wa CHADEMA wilayani Geita, wamezua vurugu hadharani kutokana na deni la sh. 10,000. ...

Last Updated ( Friday, 03 September 2010 12:35 )

JK kuwasha moto Kibaha Mjini kesho

JK kuwasha moto Kibaha Mjini kesho

NA SELINA WILSON

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Kikwete, kesho anatarajiwa kunguruma katika mkutano wa kampeni utakaofanyika viwanja vya Kongowe Kati, mjini ...

Last Updated ( Friday, 03 September 2010 11:08 )

Read more...
  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  4 
  •  5 
  •  6 
  •  7 
  •  8 
  •  9 
  •  10 
  •  Next 
  •  End 
  • »
Page 1 of 84

Kutoka Magazetini

 

TANZANIA ni nchi ya demokrasia yenye kufuata mfumo wa vyama vingi

,  kwa wananchi kuwachangua rais, wabunge na madiwani wanaowataka

 

RAIS wa Zanzibar, Amani Abed Karume

 

 

Umati wa wanaccm wakijimwaga kumlaki mgombea Urais

Umati wa wanaccm wakijimwaga kumlaki mgombea Urais kwa tiketi ya ccm Jk mkoni Mbeya hivi k...

 

MGOMBEA mwenza wa Rais Jakaya Kikwete, Dk. Mohammed Gharib Bilal

, akimnadi kwa wapigakura, mgombea ubunge wa jimbo la Mtwara Vijijini (CCM), Hawa Ghasia k...

 

Mgombea ubunge wa ccm Amos makalla akisalimiana na wananchi jimbo la Mvomero Morogoro. (Picha na Yassin Kayombo).

Magazeti Yetu

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila siku

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila Jumapili

Habari za Michezo, Tamthilia, Makala na Burudani kila Alhamisi

Toa Maoni Yako

Hali ya Kisiasa Tanzania