Uhuru Publications Ltd - Gazeti Uhuru, Mzalendo na Burudani

Monday
Sep 06th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Maoni na Barua

Maoni na Barua

Dawa ya wachakachuaji mafuta isifanywe kama operesheni maalum

KATIKA hatua inayoonekana kusaka muarobaini wa tatizo la uchakachuaji mafuta ya petroli, na mbinu za wafanyabiashara wa mafuta wanaokwepa kulipa kodi ya bidhaa hiyo, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA) ikishirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wiki iliyopita ilianza kuweka alama ya kemikali katika mafuta ya petroli, dizeli na

Read more...
 

Kila la heri darasa la saba, ila kanuni za ufanyaji mitihani zifuatwe

WANAFUNZI wa darasa la saba nchini kote, kesho wanaanza kufanya mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi. Mitihani hiyo, inafanyika ikiwa ni kipimo cha uelewa wao katika ...

Read more...

IGP mchunguze kamanda huyu

MHARIRI,

KWA kupitia kwako tunaoomba kutoa kilio chetu kwa Afande IGP kuhusiana na manyanyaso tunayopata sisi askari Polisi Mkoani Dodoma toka kwa kamanda wetu wa Mkoa. In...

Read more...

Jeshi la Polisi kuweni makini na watu hawa

NIMECHUKIZWA na kitendo cha baadhi ya wafuasi wa vyama vya siasa nchini kuchana mabango ya matangazo ya picha za wagombea. Kitendo ambacho kinatoa taswira kuwa kuna kundi...

Read more...

CHANETA, CHANEZA malizeni tofauti zenu kwa faida ya netiboli

BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limekitaka Chama cha Netiboli nchini (CHANETA), kumaliza mara moja mgogoro uliopo kati yake na Chama cha Netiboli cha Zanzibar (CHANEZA) ...

Read more...

IGP Tuondolee Kamanda huyu kunusuru Jeshi lako Dodoma

MHARIRI
KWA kupitia kwako tunaomba kutoa kilio chetu kwa Afande IGP kuhusiana na manyanyaso tunayopata sisi askari Polisi Mkoani Dodoma toka kwa kamanda wetu wa Mkoa. Inas...

Read more...

Mikopo hii iwe chachu ya kuinua pato la taifa kutokana na madini

KATIKA gazeti hili toleo la jana kulikuwa na habari kuwa serikali imetoa mikopo ya sh. milioni 650 yenye riba nafuu kwa kampuni nne za wachimbaji wadogo wa madini, ili ku...

Read more...

Maandalizi ya timu zetu Michezo ya Madola yasiwe ya kulipua

KAMATI ya Olimpiki Tanzania (TOC) imesema, kambi za awamu ya mwisho kwa ajili ya timu za taifa za michezo ya riadha, ngumi za ridhaa, mpira wa meza na walemavu (paralimpi...

Read more...

Miaka 46 ya JWTZ imedhihirisha kweli ni jeshi la wananchi

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), leo linatimiza miaka 46 tangu lilipoanzishwa mwaka 1964.  Katika kipindi hicho chote cha uhai wake, JWTZ imefanya mambo me...

Read more...
  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  4 
  •  5 
  •  6 
  •  7 
  •  8 
  •  9 
  •  10 
  •  Next 
  •  End 
  • »
Page 1 of 15

Kutoka Magazetini

 

TANZANIA ni nchi ya demokrasia yenye kufuata mfumo wa vyama vingi

,  kwa wananchi kuwachangua rais, wabunge na madiwani wanaowataka

 

RAIS wa Zanzibar, Amani Abed Karume

 

 

Umati wa wanaccm wakijimwaga kumlaki mgombea Urais

Umati wa wanaccm wakijimwaga kumlaki mgombea Urais kwa tiketi ya ccm Jk mkoni Mbeya hivi k...

 

MGOMBEA mwenza wa Rais Jakaya Kikwete, Dk. Mohammed Gharib Bilal

, akimnadi kwa wapigakura, mgombea ubunge wa jimbo la Mtwara Vijijini (CCM), Hawa Ghasia k...

 

Mgombea ubunge wa ccm Amos makalla akisalimiana na wananchi jimbo la Mvomero Morogoro. (Picha na Yassin Kayombo).

Magazeti Yetu

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila siku

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila Jumapili

Habari za Michezo, Tamthilia, Makala na Burudani kila Alhamisi

Toa Maoni Yako

Hali ya Kisiasa Tanzania