Uhuru Publications Ltd - Gazeti Uhuru, Mzalendo na Burudani

Sunday
Sep 05th
Text size
  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Home Habari za Biashara

Habari za Biashara

Kamati Tantrade kutoa mapendekezo

Na Khamis Hamad

MAMLAKA ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) imeunda kamati ambayo itayafanyia kazi mapendekezo ya ripoti ya ukaguzi iliyotolewa na Shirika la BPA World Wide. Mkurugenzi Mkuu wa

Read more...
 

SIDO yatembelea viwanda

Na Igamba Libonge, Morogoro

Jacqueline alisema baada ya kutembelea viwanda wamebaini upungufu katika uzalishaji na mazingira ya uzalishaji, hivyo kutoa ushauri wa kurekebi...

Read more...

Pinda: Afrika izalishe chakula cha kutosha

Pinda: Afrika izalishe chakula cha kutosha

NA MWANDISHI WETU

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameitaka Afrika kubeba mzigo wa kuhakikisha inazalisha chakula cha kutosha na kuepuka kutegemea mabara mengine. Pinda aliyasem...

Last Updated ( Friday, 03 September 2010 10:11 )

Read more...

Wadau kuzalisha maziwa yenye ubora

Na Farida Msengwa, Morogoro

WAZALISHAJI wa maziwa wa mikoa ya Tanga na Iringa watawezeshwa ili kuzalisha maziwa yenye ubora na hivyo kuwapatia kipato kitakachotokana na so...

Read more...

Kampuni za wachimbaji wadogo zapata mikopo

KHADIJA MUSSA

SERIKALI imetoa sh. milioni 650 kama mkopo wenye riba nafuu kwa kampuni nne za wachimbaji wadogo wa madini ili kurahisisha upatikanaji wa nyenzo za  uchimbaj...

Read more...

Utashi kisiasa muhimu kwa uboreshaji ardhi

NA MAGRETH KINABO, MAELEZO

RAIS mstaafu wa Mauritius, Karl Offmann, amesema utashi wa kisasa unahitajika katika uboreshaji wa ardhi, ili ukuaji uchumi uwe wa mafanikio bar...

Read more...

Nyara za taifa zamtia matatani

NA WILSON KIMARO

MKAZI wa Kimara Kibo, mjini Dar es Salaam, amepandishwa kizimbani kujibu shitaka la kupatikana na ngozi za chui na pundamilia kinyume na sheria za nchi. B...

Read more...

Mfanyabiashara Dar kuendelea kusota

NA FURAHA OMARY

MFANYABIASHARA Tonny Ngombale-Mwiru, anayekabiliwa na kesi ya kujipatia sh. milioni 424.4 kwa njia ya udanganyifu, ameendelea kusota rumande baada ya kushi...

Read more...

Wizara yaongeza thamani ya madini

NA SHAABAN MDOE, ARUSHA

WIZARA ya Nishati na Madini imeanza utekelezaji wa sera mpya ya madini kuhusu kuongezwa thamani kwa aina zote za madini, yakiwemo mawe na miamba mb...

Read more...
  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  4 
  •  5 
  •  6 
  •  7 
  •  8 
  •  9 
  •  10 
  •  Next 
  •  End 
  • »
Page 1 of 16

Kutoka Magazetini

 

TANZANIA ni nchi ya demokrasia yenye kufuata mfumo wa vyama vingi

,  kwa wananchi kuwachangua rais, wabunge na madiwani wanaowataka

 

RAIS wa Zanzibar, Amani Abed Karume

 

 

Umati wa wanaccm wakijimwaga kumlaki mgombea Urais

Umati wa wanaccm wakijimwaga kumlaki mgombea Urais kwa tiketi ya ccm Jk mkoni Mbeya hivi k...

 

MGOMBEA mwenza wa Rais Jakaya Kikwete, Dk. Mohammed Gharib Bilal

, akimnadi kwa wapigakura, mgombea ubunge wa jimbo la Mtwara Vijijini (CCM), Hawa Ghasia k...

 

Mgombea ubunge wa ccm Amos makalla akisalimiana na wananchi jimbo la Mvomero Morogoro. (Picha na Yassin Kayombo).

Magazeti Yetu

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila siku

Habari za Kitaifa, Kimataifa, Uchumi, Biashara na Michezo kila Jumapili

Habari za Michezo, Tamthilia, Makala na Burudani kila Alhamisi

Toa Maoni Yako

Hali ya Kisiasa Tanzania