Toleo Maalumu

Habari

DK. SAMIA ATEUA, ATENGUA VIGOGO

NA MWANDISHI WETU RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na kutengua viongozi mbalimbali ambapo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC) Profesa  Eliakimu Zahabu, uteuzi wao umetenguliwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk. […]

DK. MIGIRO AJA KIVINGINE CCM

Na IRENE MWASOMOLA KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Asha- Rose Migiro, amekuja kivingine kuhakikisha wanachama wanashiriki usimamizi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Ametumia kaulimbiu; ‘Shina lako linakuita,’ akitaka kila mwanachama kushiriki kusimamia miradi ya maendeleo ngazi ya mashina. Amesema kuwa, mashina ndiyo chimbuko la uhai wa Chama kupima utekelezaji wa kazi za […]

BARKER, IBENGE VITA YA MBINU ‘MZIZIMA DERBY’

Na NASRA KITANA WAKATI Simba na Azam FC zikichuana katika dabi ya Mzizima, makocha Steve Barker na Florent Ibenge, wanatarajiwa kuwa na vita kubwa ya mbinu katika mtanange huo utakaopigwa leo visiwani Zanzibar. Simba itachuana na Azam FC saa 2:15 usiku katika Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe […]

WACHINA WANAODAIWA KUKUTWA NA MABILIONI WAPANDISHWA KORTINI

Na REHEMA MOHAMED RAIA wawili wa China, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka mawili ya kuongoza genge la uhalifu na kujipatia zaidi ya Dola la Marekani 707,075 (sawa na zaidi ya sh. bilioni 1.7) na sh. 281,710,000 kwa njia ya udanganyifu. Weisi Wang na Yao Licong walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es […]

REKODI MPYA ZANZIBAR

Na HANIFA RAMADHANI, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema katika kipindi cha miaka 62 ya Mapinduzi, Zanzibar imeendelea kupata mafanikio makubwa. Amesema Zanzibar, imeweka rekodi mpya kwa mara ya kwanza, kuwa na barabara ya juu (Flyover).  Rais Mwinyi, aliyasema hayo, katika hafla ya uzinduzi wa ‘flyover’ […]

UCHAGUZI

WATANZANIA 37,647,235 KUPIGA KURA LEO

Na WAANDISHI WETU TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza maandalizi yote muhimu ya Uchaguzi Mkuu wa wa Rais, Wabunge na Madiwani, yamekamilika.Jumla ya wapigakura 37,647,235, wamethibitishwa kushiriki uchaguzi huo. Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele, amesema hayo kupitia taarifa ya tume hiyo na kusisitiza, uchaguzi huo, unafanyika kwa mujibu wa masharti ya Ibara […]

KISHINDO SIKU 60 ZA DK. SAMIA

Na MUSSA YUSUPH,Mwanza SHAMRASHAMRA za maandalizi ya mkutano wa kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu, zimeendelea kuutikisa Mkoa wa Mwanza ambapo Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi, wapenzi, wanachama na wakereketwa wa CCM. Katika mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, mwaka huu, katika Uwanja wa CCM […]

DK. MWINYI AJAWA MATUMAINI KIBAO

Na HANIFA RAMADHANI, Zanzibar MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema wana matumaini kuwa CCM itashinda kwa kishindo katika Uchaguzi wa kesho kutwa. Dk. Mwinyi alisema hayo, katika ufungaji kampeni za Uchaguzi Mkuu wa CCM, uliofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja, Mjini Unguja Alisema kutokana na wingi wa wanachama […]

DK. NCHIMBI AELEZA MAFANIKIO YA KAMPENI ZA CCM NCHINI

Na NJUMAI NGOTA,UKEREWEMGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amefunga kampeni za Chama kwa kishindo huku akisema amezunguka takribani mikoa yote kwa mafanikio makubwa.Katika mikutano yake ya kampeni, Dk. Nchimbi, ameinadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025–2030 na kumwombea kura za Urais, Dk. Samia Suluhu […]

MAAGIZO YA DK. MWINYI KWA WATUMISHI Z’BAR

Na MWANDISHI WETU, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza watumishi wa umma kuendelea kufanya kazi kwa uzalendo na uwajibikaji wakizingatia misingi ya utumishi na utawala bora ili kutoa huduma bora kwa wananchi. Amesema lengo la serikali ni kuimarisha zaidi maslahi ya watumishi wa umma nchini, kulingana na […]

Siasa

TULIENI NYUMBANI

>>Ni agizo la Waziri Mkuu Dk. Mwigulu >>Simbachawene  asema maandamano ni haramu Na IRENE MWASOMOLA SERIKALI imewataka wananchi wasiokuwa na ulazima wa kutoka leo, watulie nyumbani. Agizo hilo limetolewa na Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, alipowasilisha salamu za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru, ambapo aliwatakia Watanzania kheri. Kupitia […]

KIHONGOSI ATOA MAAGIZO KWA MADIWANI 

Na ATHNATH MKIRAMWENI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka madiwani kufanya kazi zinazobeba ajenda za wananchi, zitakazotoa majawabu ya kero katika maeneo yao. Pia, CCM imesema itaendelea kusimamia vyema misingi ya uadilifu kwa watendaji wa Chama. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, jijini Dar es Salaam, alipozungumza na […]

WASIRA : VIJANA MSIKUBALI KUTUMIKA KUVURUGA AMANI

Na MWANDISHI WETU MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewataka vijana kutokubali kutumika kuvuruga amani na utulivu nchini kwa madai ya kudai haki. Amesema Tanzania haina uadui na nchi nyingine, lakini yapo baadhi ya mataifa, yanayoumizwa na kasi ya maendeleo iliyopo nchini. Amesema wanafahamu Tanzania inaelekea kujikomboa kiuchumi, hivyo kuondoka […]

TUTAILINDA NCHI YETU KWA GHARAMA – PM MWIGULU

Na ELIZABETH JOHN WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania, kuwa makini dhidi ya makundi ya watu wenye nia ovu ya kuichafua na kuiharibu Tanzania kwa maslahi binafsi. Dk. Mwigulu, amesema serikali itawalinda Watanzania na rasilimali zake zote kwa gharama yoyote kupitia vyombo vya ulinzi na usalama. Waziri Mkuu, aliyasema hayo kufuatia matukio […]

MAWAZIRI SABA NA MIKAKATI YA KAZI

Na WAANDISHI WETU, Dodoma ZIKIWA zimepita siku nane (Sawa na saa 192), tangu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan awaapishe mawaziri na naibu mawaziri, wametaja vipaumbele vyao katika utekelezaji wa majukumu yao vyenye dhamira ya kuwatumikia wananchi. Baadhi ya mawaziri baada ya kukabidhiwa vijiti vya kuongoza wizara zao, wameeleza walivyojipanga kutimiza ahadi zilizotolewa na Rais Dk. […]

Biashara

TRA INAVYOIMARISHA USHIRIKIANO NA WAFANYABIASHARA KUKUZA UCHUMI

Na IRENE MWASOMOLA TANGU kuingia madarakani kwa serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imesaidia kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hakika kazi kubwa imefanyika ya kuongeza makusanyo ya kodi kupitia TRA, hivyo kufanikisha dhima ya serikali ya utekelezaji wa maendeleo kwa wananchi na taifa.  […]

TASAF KIELELEZO CHA MAFANIKIO MIAKA 64 YA UHURU

NA SULEIMAN JONGO WATANZANIA wanaadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara) ambao ulipatikana Desemba 9, mwaka 1961 huku kukiwa na mafanikio mbalimbali ya mfano. Kupatikana kwa Uhuru kunatokana na msukumo wa wananchi wa Tanzania Bara kutaka kujinasua katika makucha ya wakoloni ambayo hawakutoa nafasi kwa Waafrika weusi kujiletea maendeleo katika sekta mbalimbali zenye […]

SERIKALI YAIVALIA NJUGA TANZANITE

Na MWANDISHI WETU WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amesema serikali imejipanga upya kuyatangaza na kuyainua madini ya Tanzanite kimataifa kupitia mkakati wa kurejesha hadhi ya jiwe hilo adimu duniani. Akizungumza katika mkutano na wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini ya vito katika eneo tengefu la ukuta wa Magufuli, Mirerani mkoani Manyara, Waziri Mavunde, alisema hatua […]

DK. MWIGULU ATOA SIKU 10

Na MWANDISHI MAALUMU WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa siku 10 kwa watendaji wa taasisi zinazohusika na usafiri wa mwendokasi jijini Dar es Salaam, kuainisha maeneo ya kufanyiwa kazi haraka, kurejesha hali ya mpito wakati serikali ikitafuta suluhisho la kudumu. “Wizara ya Ujenzi, TANROADS, DART, UDART, OWM-TAMISEMI, TANESCO na wadau wengine, kaeni kuanzia leo (jana), […]

TRENI ZA JIJI DAR, DODOMA ZANUKIA

Na ELIZBAETH JOHN MAANDALIZI ya ujenzi wa njia za treni za mijini katika majiji ya Dar es Salaam na Dodoma yameanza rasmi, hatua inayotarajiwa kubadili kwa kiasi kikubwa mfumo wa usafiri wa abiria na kupunguza msongamano wa magari. Akizungumza Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni […]

Michezo

BARKER, IBENGE VITA YA MBINU ‘MZIZIMA DERBY’

Na NASRA KITANA WAKATI Simba na Azam FC zikichuana katika dabi ya Mzizima, makocha Steve Barker na Florent Ibenge, wanatarajiwa kuwa na vita kubwa ya mbinu katika mtanange huo utakaopigwa leo visiwani Zanzibar. Simba itachuana na Azam FC saa 2:15 usiku katika Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe […]

TAIFA STARS AFCON 2027 INAWEZEKANA

Na AMINA KASHEBA WAKATI timu ya taifa ‘Taifa Stars’ ikionyesha kiwango cha kushangaza katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2025, magwiji wa soka wamesema miamba hiyo inaweza kutikisa katika AFCON mwaka 2027 kama maandalizi yatafanyika mapema na kwa usahihi. Taifa Stars chini ya Kocha Miguel Gamond iliwashangaza watu wengi Afrika baada ya kuonyesha […]

KIWANGO SIMBA CHAMKERA BARKER

Na NASRA KITANA LICHA ya kutinga nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi, Kocha wa Simba, Steven Barker, hajaridhishwa na kiwango kilichoonyesha na timu yake dhidi ya Fufuni juzi. Simba ilitinga nusu fainali ya michuano hiyo baada ya juzi kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Fufuni katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Kocha huyo […]

BILIONI 1/- KUWAPANDISHA ULINGONI MWAKINYO, KIDUKU

Na AMINA KASHEBA PROMOTA wa ngumi za kulipwa, Meja Selemani Semunyu, amesema anahitaji zaidi ya sh. bilioni moja kufanikisha pambano kati ya bondia Hassan Mwakinyo na Twaha Kassim ‘Kiduku’. Mwakinyo anayeshikilia rekodi ya kuwa bondia namba moja Afrika katika uzito wa kati kupitia Boxrec amekuwa katika vita ya maneno ya muda mrefu na Twaha Kiduku […]

‘PENALTI’ STARS YAIGAWA DUNIA

Na AMINA KASHEBA WAKATI timu ya taifa ‘Taifa Stars’ ikitolewa katika Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Morocco juzi, waamuzi wakongwe kutoka maeneo mbalimbali duniani, wametoa maoni tofauti kuhusu tukio la nyota Idd Nado kuanguka ndani ya boksi kama lilistahili adhabu ya penalti au siyo penalti. Taifa Stars ilitolewa na mwenyeji Morocco katika hatua […]

Mitandao ya Kijamii

Instagram

Tiktok

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?